Tofauti kati ya marekesbisho "Kombe la Mataifa ya Afrika"

d
corr using AWB
d (corr using AWB)
Katika mwaka wa 1957 kulikuwa na mataifa tatu yaliyoshiriki katika shindano hili ambayo ni: [[Misri]], [[Sudan]] na [[Ethiopia]]. [[Afrika ya Kusini]] walikuwa walikuwa washiriki katika shindano hili lakini walizuiwa kutokana na sera za [[ubaguzi]] nchini humo.<ref>http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/africa/cup_of_nations/1709599.stm</ref> Tangu wakati huo, mchuano huu umeenea, na kusababisha michuano ya kufuzu. Idadi ya walioshiriki katika fainali ya shindano hili ilifika 16 katika mwaka 1998 (timu 16 zilikuwa zishiriki katika shinano hili mwaka wa 1996 lakini Nigeria walijitoa na kubakia timu 15), na tangu wakati huo, imebaki kuwa timu 61 ndizo zinashiriki katika shindano hili. Timu hizi hugawanywa katika vikundi ambavyo kila kundi kina timu nne ambapo timu mbili bora katika kila kundi ndizo zinafaulu katika hatua ya ya pili.
 
[[Misri]] ndiyo taifa lililofanikiwa zaidi katika historia kombe hili kwa kuwa na rekodi ya kushinda kombe hili mara sita. [[Ghana]] na [[Kamerun]]wameweza kunyakuwa ubingwa mara nne. Nyara tatu tofauti zimetunzwa katika historia ya shindano hili. [[Ghana]] na [[Kamerun]]wameshinda matoleo mawili ya kwanza baada ya kila timu kushinda shindano hili mara tatu mfululizo . Nyara iliyo sasa ilitunzwa mara ya kwanza mwaka wa 2002.
 
== Historia ==
 
=== 1980: Kutawala kwa Cameroon na Nigeria ===
Ghana iliweza kunyakua ubingwa mara ya nne mwaka wa 1982 baada ya; kushinda Algeria katika nusu fainali katika muda wa ziada, na kupatana na Libya kama mwenyeji katika fainali . Hii mechi iliisha sare ya bao 1-1 baada ya dakika 120 na Ghana ilishinda [[katika penalti]] na kunyakuwa taji . Kamerun iliweza kuchukuwa taji la kwanza miaka miwili baadaye kwa kushinda Nigeria .Shindano la mwaka wa [[1986]]ilikabiliana na Misri - watoro tangu fainali ya mwaka wa 1962 - Misri ilishinda kupituia penalti. Kamerun iliweza kushiriki katika fainali mara ya tatu mfululizo na kuchukua taji mara ya pili katika [[shindano]] la [[1988]]hii ni baada ya kurudia kuchapa Nigeria mwaka wa 1984. Mwaka wa 1990, Nigeria ilipoteza nafasi ya kuchukua taji walipojiandikisha katika fainali mara ya tatu baada ya kujitokeza katika shindano hili mara nne na kupigwa na Algeria .
 
=== 1990: Kuwasili kwa Afrika Kusini ===
== Fomati ==
=== Kufuzu ===
Tangu 1962 kumekuwa na michuano ya kufuzu katika fainali . Kutoka 1962-1990 michuano hii ilikuwa na mechi za kurudiwa, na idadi ya raundi ilitegemea idadi ya timu zinazoshiriki Kuanzia 1994 kuendelea timu ambazo zina azma ya kufuzu hugawanywa katika makundi na kucheza na kila timu katika kundi iliyowekwa Mpaka mwaka wa 2006 ambako timu ya nchi ambapo shindano hili litafanyika na mabingwa tetezi zilifaulupapo Kwanzia mwaka wa 2008 timu itakayo fanya shindano hili ndio wanafuzu papo hapo.Fomati ya kufuzu katika shinano hili imekuwa ikibadilikabadilika .Kwanzia mwaka wa 2008 timu 11 ndizo zinazofuzu katika fainali ambazo zinagawanya katika makundi ambayo yana timu nne na moja timu tatu.
Timu zinazoshinda katika kundi ndizo zinafaulu na timu tatu zingine ambazo zina rekodi nzuri
 
1,514

edits