Kiraitu Murungi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Mstari 9:
 
==Wasifu wa kisiasa==
Murungi amekuwa Mbunge tangu mwaka wa 1992 na hapo awali aliwahi kuwa Waziri wa Katiba na Sheria na Mwanasheria Mkuu(wakilishi). Katika [[Uchaguzi Mkuu wa mwaka wa 2002 nchini Kenya]]alishinda [[Kiti cha mbunge Imenti Kusini kutoka chama cha "National Rainbow Coalition"|Kiti cha mbunge Imenti Kusini kutoka chama cha [["National Rainbow Coalition"]]]] (NARC) . Baada ya serikali kushindwa katika mwaka wa 2005, 21 Novemba katika kura ya maoni kikatiba, aliteuliwa kuwa Waziri wa Kawi.
 
Katika mwaka wa 2005 Februari, Murungi aliomba msamaha kwa kutoa matamshi ambayo yaliyokaguliwa kuwa yanaeneza[[ubakaji]] na rushwa. Yeye alikuwa amesema kuwa ukaguzi kutoka kwa wahisani wa misaada ya rushwa nchini Kenya ilikuwa "ni kama kubaka mwanamke ambaye ako tayari" <ref>{{cite news|title=Kenyan apology over rape remark|date=11 Februari 2005|publisher=BBC News|url=http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/africa/4254343.stm|accessdate=2006-02-13}}</ref>
Mstari 18:
Katika mwaka wa 2006, 8 Februari[[Shirika la Utangazaji la BBC]] ilitoa mazungumzo kati ya Mweshimiwa Murungi na Katibu wa zamani wa Utawala Bora na Maadili[[Bw.John Githongo]] ambapo inaonekana kuwa anajaribu kumwambia Bw. Githongo kuachana na uchunguzi wake juu ya kashfa ya "Anglo Leasing". Yeye aliahidi kwamba [[Anura Pereira]] atasamehe madeni ya KES milioni 30 ambazo zilikuwa zinadaiwa babake Githongo.<ref>{{cite news|title='Taped evidence' in Kenya scandal|date=9 Februari 2006|publisher=BBC News|url=http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/africa/4695354.stm|accessdate=2006-02-10}}</ref>
 
Murungi awali alisisitiza kuwa kamwe hakutaka kujiuzulu kutoka kiti chake cha Waziri licha ya madai ya rushwa.<ref>{{cite news|title=Kenyan minister 'not resigning'|date=10 Februari 2006|publisher=BBC News|url=http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/africa/4701048.stm|accessdate=2006-02-10}}</ref> Yeye alidai kwamba hana hatia na kuwa ripoti ya Githongo ni propaganda tu. Juu ya kurekodi, yeye alitoa maoni ya kuwa: "Nimeyasikiliza madai ya kanda ya ushahidi . Ni njia ya mkato, haisikiki, haitoshi na haikubaliki kuunda ushahidi unaoaminika kwa madai yaliopangwa na Bw. Githongo "
<ref>{{cite news|title=Kiraitu: 'BBC Tape Not Credible'|date=10 Februari 2006|publisher=[[Daily Nation]]|url=http://allafrica.com/stories/200602100373.html|accessdate=2006-02-10}}</ref> Tarehe 13 Februari 2006, hata hivyo, Rais [[Mwai Kibaki]] alitangaza kuwa Murungi amejiuzulu kuruhusu uchunguzi kamili juu ya hayo madai <ref>{{cite news|title=Kenyan 'graft' ministers resign|date=[[13 Februari]] 2006|publisher=BBC News|url=http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/africa/4710138.stm|accessdate=2006-02-13}}</ref>
Tarehe 14 Februari 2006, siku baada yake kujiuzulu, Murungi alidai kuwa yeye hakuhusika kwa kufunika [[kashfa ya Anglo Leasing.]] Yeye alilaumu shida zilizomo kisiasa katika chama cha[[National Rainbow Coalition]] (NARC) na vyombo vya habari. Hata hivyo, baadaye iliibuka kwamba Rais [[Mwai Kibaki]] alimuuliza ajiuzulu kutoka kwa Serikali.<ref>{{cite news|title= Kibaki asked Kiraitu and Saitoti to quit|date=13 Februari 2006|publisher=[[Daily Nation]]|url=http://www.nationmedia.com/dailynation/nmgcontententry.asp?category_id=2&newsid=67252|accessdate=2006-02-16}}</ref>