Chuo Kikuu cha Witwatersrand : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d fixing dead links
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Mstari 18:
|tovuti = http://www.wits.ac.za/
}}
'''Chuo Kikuu cha Witwatersrand''', Johannesburg ni mojawapo ya [[vyuo vikuu]] bora vya [[Afrika Kusini]] lililoko katika maeneo ya kaskazini ya katikati mwa [[Johannesburg]]. Kinajulikana vizuri zaidi kama '''Wits University''' . Chuo hiki kina mizizi yake katika sekta ya madini, kama ilivyo Johannesburg na Witwatersrand kwa ujumla.
 
 
Mstari 41:
 
 
Mwaka wa 1984, jengo la Chama cha Migodi lilifunguliwa . Njia kubwa kwa jina la Amic Deck ilijengwa kuvukia barabara kuu ya De Villiers Graaff ambayo huigawanya kampasi mara mbili, ikiunganisha pande za mashariki na magharibi. Mwaka 2004, Chuo cha Elimu cha Johannesburg kilijumuishwa katika Wits kama kampasi ya elimu chini ya mpango wa elimu wa kitaifa wa mageuzi ya idara ya elimu katika Afrika Kusini.