Tinini (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Mstari 9:
Draco ilikuwa moja ya makundinyota 48 yaliyoorodheshwa na [[Klaudio Ptolemaio]]. Ilipokelewa na [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] katika orodha ya makundinyota 88 ya kisasa iliyotolewa mwaka 1930. <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Oktoba 2017</ref> Kifupi rasmi ni ‘Dra’.<ref>[http://www.ianridpath.com/iaulist1.htm "The IAU list of the 88 constellations and their abbreviations" ya mwaka 1922], kwenye tovuti ya Ian Ridpath, iliangaliwa Mei 2017</ref>
 
Katika mitholojia ya Ulaya na [[Mashariki ya Kati]] Tinini au [[dragoni]] ni mnyama mkubwa mwenye umbo kama nyoka au mjusi, akiwa na miguu minne na mabawa mawili anayeweza kutema moto. Katika [[mitholojia ya Kigiriki]] ni [[Herakles]] alipambana pia na dragoni . Kundinyota Rakisi linalolingana na lile ya kumkumbuka Herakles (lat. Hercules) liko jirani na Tinini (Draco).
 
==Mahali pake==