Boga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d wikidata interwiki
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Mstari 5:
 
== Maelezo ==
Asili ya maboga haifahamiki vizuri japo yanasenekana kuanzia huko Amerika ya kaskazini ushahidi wa zamani kabisa ni ule wa maboga, zinazoonesha kuwepo tangu mwaka 7000 na 5000kk, zilizo patikana huko maksiko maboga huwa na saizi mbalimbali . kwanzia kilogramu 0.4 mpaka kilogram 453.
 
Shina la mmea wa maboga huwa gumu, lenye miba midogomidogo na lenye pembe tano. Kwa kawaida maboga huwa na uzito kuanzia kiligramu 4 mpaka 8, na kwa spishi ya (maxima inayoweza kufikia mpaka zaidi ya kilogramu 34.