Hakim Ziyech : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Mstari 4:
Mnamo 2019, alichaguliwa kama mmoja wa wachezaji bora 20 katika [[Ligi ya Mabingwa wa Ulaya]] (UEFA) kwa msimu wa 2018-19. Anajulikana kwa kufunga kwake, kukimbiza mpira, kupiga pasi ndefu, na kupiga faulo nzuri.
 
Ziyech alianza kazi yake ya kitaaluma katika klabu ya [[Uholanzi]] [[Heerenveen]] mwaka [[2012]] . Msimu wa 2015-16 ulikuwa msimu mkubwa sana kwa Ziyech, kwa kuwa alifunga mabao 17 na kutoa msaada 10 katika ligi ile . Mnamo mwaka [[2016]], Ziyech alijiunga na Ajax kwa [[mkataba]] wa miaka mitano kwa ada ya [[€]] [[milioni]] 11.
 
Ziyech alistahili kuchezea timu ya taifa ya Uholanzi au Moroko. Mwaka [[2015]], alithibitisha kuwa ataiwakilisha Morocco katika ngazi ya kimataifa. Alichaguliwa katika kikosi cha wanaume 23 katika [[Kombe la Dunia]] la [[2018]], Pia ameiwakilisha nchi yake katika [[Afcon 2019]].