Neptuni (sayari) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
badilisha kwa toleo lingine la picha sawa ya Neptune kusindika kuwa karibu na rangi za kweli
Mstari 2:
 
[[Picha:Neptune-visible.jpg|thumb|200px|right|Neptun ilivyopigwa [[picha]] na [[darubini ya angani Hubble]].]]
[[Picha:Neptune, Earth size comparison 2b.jpg|thumb|200px|right|Ulinganifu wa Neptun na [[dunia]]. [[Rangi]] ya [[bluu]] ya sayari ya Neptune hutokana na uwepo wa methane katika tabaka lake la hewa.]]
'''Neptuni''' (''[[ing.]] Neptune)'' ni [[sayari]] ya nane kutoka kwenye [[Jua]] na ya nne kwa ukubwa wa kipenyo katika [[mfumo wa Jua]]. Masi yake ni mara 17 ya ile ya [[Dunia]]. Pamoja na [[Mshtarii]] ''(Jupiter)'', [[Zohali]] ''(Saturn)'' na [[Uranus]] inahesabiwa kati ya sayari jitu za mfumo wetu.