Tofauti kati ya marekesbisho "Muziki wa country"

1 byte removed ,  mwaka 1 uliopita
d
tahajia, lugha, mpangilio using AWB
d (Bot: Migrating 62 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q83440 (translate me))
d (tahajia, lugha, mpangilio using AWB)
'''Muziki wa country''' (pia huitwa '''Country & Western''') ni aina ya [[muziki]] ambayoambao ilikuwaulikuwa ikifurahiwaukifurahiwa sana nchini [[Marekani]] kwa miaka mingi. Miongoni mwa wanamuziki maarufu wa muziki huu ni pamoja na [[Johnny Cash]], [[Patsy Cline]], the [[Judd family|Judds]], [[Dolly Parton]], [[Glen Campbell]], [[George Jones]] na [[Tammy Wynette]], [[Kenny Rogers]], [[Loretta Lynn]], [[Randy Travis]], [[Tanya Tucker]], [[Willie Nelson]], [[Reba McEntire]], [[Garth Brooks]] na [[Toby Keith]].
 
Muziki huu pia una wasikilizaji huko nchini [[Kanada]], [[Uingereza]], na sehemu zingine za ulimwenguni. Umaarufu wa muziki wa country huja na kupotea kwa miaka mingi sasa. Kuna kipindi hutokea katika baadhi ya filamu mpya (kama ''[[Midnight Cowboy]]'' au ''[[Urban Cowboy]]''), wamepiga kibao (kama "She Believes In Me" cha Kenny Rogers), au waimbaji mwimbaji mpya (kama Randy Travis wa miaka ya [[1980]]) alianza ladha kadhaa.