Maji ya matunda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
spam site
another spam site
Mstari 23:
Kama tunda lina [[asidi]] nyingi kiasi ndani yake [[sukari]] huongezwa, lakini matunda mengine, hasa kama ni mabivu na yameiva penye [[jua]] kali, huwa na sukari ya kutosha ndani yake.
 
Katika nchi nyingi maji ya matunda hutengenezwa [[Kiwanda|kiwandani]] na kuuzwa [[duka|madukani]]. Watu wengi wanajua na wanapenda zaidi kujitengenezea [[nyumba|nyumbani]] kwa kutumia mashine ya kukamua matunda.<ref>[https://homus.org/best-juicer-for-greens/ - Mashine za kukamua maji ya matunda]</ref>
 
Nchi inayoongoza kwa kuwa na watu wengi wanaokunywa maji ya matunda ni [[New Zealand]] ikifuatiwa na [[Kolombia]].