Bilula : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
more refspam
Mstari 5:
Bilula inajulikana tangu karne nyingi; haijulikani zilibuniwa wapi na lini lakini kuna mifano ya [[Roma ya Kale]] iliyohifadhiwa.
 
Kuna bilula za aina nyingi ukizingatia rangi, urefu, umbo, idadi ya vidude za kufungia na kufungulia maji, uwezo wake wakuzunguka kuangalia upande tofauti tofauti na utenda kazi.<ref>{{Cite web|url=https://www.thespruce.com/types-of-faucets-1824889/|title=The Different Types of Faucets|last=Formisano|first=Bob|date=20 June 2018|language=en-US|accessdate=7 July 2018|website=The Spruce}}</ref> <ref>{{Cite web|url=https://www.bestkitchenfaucetshub.com/13-types-kitchen-faucets-know/|title=14 Types of Kitchen Faucets You should Know Before You Buy|last=Finch|first=Robert|date=23 December 2013|language=en-US|accessdate=7 July 2018|Website=Kitchen Faucet Hub}}</ref> Bilula zingine zina uwezo wa kuchanganya maji kutoka bomba mbili tofauti kama vile maji yakutoka bomba la maji moto na maji baridi ya kutoka bomba ya maji baridi ili kuipatia anayetumia maji yenye joto anayotaka. Pia kuna bilula za [[Dijiti|kidijiti]] zenye [[vihisio digitali]] za kufungulia na kufunga. Aina hizi za bilula hufungulia maji zenyewe punde tu mtu anapopitishia mkono karibu na kujifunga punde tu mtu anapotoa mikono.
<ref>{{Cite web|url=https://homus.org/best-kitchen-faucets/|title=Best Kitchen Faucets – Make Your Kitchen Fancier|last=Croll|first=David|date=19 May 2018|language=en-US|accessdate=7 July 2018|website=Homus}}</ref>za kufungulia na kufunga. Aina hizi za bilula hufungulia maji zenyewe punde tu mtu anapopitishia mkono karibu na kujifunga punde tu mtu anapotoa mikono.
 
== Picha ==