Urundi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d corr using AWB |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Urundi ramani.jpg|350px|thumb|Jina la "Urundi" kwenye ramani ya kikoloni (1929)]]
'''Urundi''' (kwa [[tahajia]] ya [[Kifaransa]] pia '''Ouroundi''') ni [[jina]] la [[Historia|kihistoria]] kwa nchi ya [[Burundi]]. [[Wajerumani]] waliita nchi "Urundi" walipoanza kueneza [[utawala]] wao juu ya [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]].
Inaonekana ya kwamba Wajerumani walipoanza kutumia [[umbo]] la "Urundi" walifuata kawaida ya [[lugha]] ya [[Kiswahili]] badala ya jina la wenyewe
[[Jamii:Historia ya Burundi]]
[[Jamii:Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]]
|