Hifadhi ya Taifa ya Aberdare : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Hifadhi ya Taifa ya Aberdare''' ina latitudo ya mita 1829 hadi 4001 juu ya usawa wa bahari na iko katika ardhi kati ya kusini-magharibi k...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Hifadhi ya Taifa ya Aberdare''' ina [[latitudo]] ya [[mita]] 1829 hadi 4001 juu ya [[usawa wa bahari]] na iko katika ardhi kati ya [[kusini]]-[[magharibi]] kwa [[Mlima Kenya]] ([[Kaunti ya Nyandarua]] na [[Kaunti ya Nyeri]]).
 
Ilianzishwa rasmi mnamo Mei [[1950]] kama hifadhi ya [[misitu]] ya nchi. Hifadhi ina [[hewa]] njema iliyo tulivu na yenye [[mazingira]] murua na [[mvua]] kubwa inayonyesha mwaka nenda mwaka rudi.
 
Ilianzishwa rasmi mnamo Mei [[1950]] kama hifadhi ya [[misitu]] ya nchi. Hifadhi ina [[hewa]] njemasafi iliyo tulivu na yenye [[mazingira]] murua na [[mvua]] kubwa inayonyesha mwaka nenda mwaka rudi.
{{National Parks of Kenya}}
{{mbegu-jio-Kenya}}
 
[[Jamii:Hifadhi za Taifa za Kenya|Aberdare]]
[[Jamii:Kaunti ya Nyandarua]]
[[Jamii:Kaunti ya Nyeri]]