Kalimantan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Kalimantan2.png|right|thumb|Ramani ya Kalimantan na sehemu zake]]
'''Kalimantan''' (inajulikana pia kwa jina la '''Borneo ya Indonesia''') ni sehemu kubwa ya [[kisiwa]] cha [[Borneo]] iliyopo [[Indonesia]].<ref name=brit>{{cite web|publisher=Britannica|title=Kalimantan|url=http://www.britannica.com/eb/article-9044401/Kalimantan|accessdate=2008-02-26}}</ref> Sehemu hii ni [[asilimia]] 73% za eneo lote la kisiwa hikihicho. Sehemu nyingine zisizo za Indonesia ni [[Brunei]] na [[Malaysia]] ya [[Mashariki]].
 
==Etimolojia==
[[Jina]] la ''Kalimantan'' (pia ''Klemantan'') latokanalinatokana na [[lugha]] ya {{Kisanskrit]]: ''Kalamanthana'' ikimaanisha kisiwa chenye [[hali ya hewa]] [[joto]] sana. Linafanywa na maneno mawili ya: ''kal(a) (wakati. majira) na ''manthan(a)'' (moto sana, ya kuchoma). <ref>{{cite web |title=Central Kalimantan Province |publisher=archipelago fastfact |url=http://archipelagofastfact.wordpress.com/category/borneokalimantan/|accessdate=13 October 2014}}</ref>
 
==Eneo==
Sehemu hii ya InonesiaIndonesia ina asilimia 73% ([[km²]] 544,150 km²<ref name=geoh>{{cite web|publisher=Geohive.com|title=Indonesia General Info|url=http://www.geohive.com/cntry/indonesia.aspx|accessdate=2009-08-11}}</ref>) za kisiwa chote cha Borneo na 69.5% (watu 13,772,543 wakati wa [[sensa]] ya 2010) za wakazi wa kisiwa hiki. Sehemu zisizo za Kiindonesia ni Brunei (wakazi 400,000) na [[Malaysia]] ya Mashariki (wakazi 5,625,000) inayokumlisha majimbo ya [[Sabah]], [[Sarawak]] na eneo la [[Labuan]]. Kalimantan inajulikana pia kwa jina la '''Borneo ya Indonesia'''.
 
 
==Utawala==
Line 47 ⟶ 46:
* {{wikivoyage-inline|Kalimantan}}
 
[[Category:Kalimantan| ]]
[[Category:Borneo]]
[[Category:Visiwa vya Indonesia]]