Uchapaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya Abdullahpirzada (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
Mstari 115:
 
===Dereva za uchapaji===
Unapoweka printa kwa tarakilishi yako, huwa kwa kawaida waitishwa kuweka dereva za uchapaji [https://printdriver.org/ (printer drivers]) . Hizo ni programu ambazo zinakusaidia kuwasiliana na mashine ile. Kulingana na maelezo ya [[Wikipedia ya Kiingereza]], dereva za uchapaji hugeuza data ili iwe kati hali au mfumo ambao printa itaweza kupiga chapa bila ya tatizo lolote. Kazi ya dereva hizo ni kuwezesha tarakilishi kupiga chapa bila kuzingatia muundo wa printa yenyewe. Programu hizi huenda ukapewa wakati unanunua mashine yako ya printa au ukapata kwa wavuti za mitandao zinazoshughulika na mambo ya chapa.
 
==Tanbihi==