Java : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Java''' ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa kusini-mashariki wa kisiwa cha Sumatra. Eneo la kisiwa ni 138,794 km². Mji mk...'
 
No edit summary
Mstari 1:
 
[[Picha:Java map.png|300px|thumb|Ramani ya Java]]
[[Picha:ID - Java.PNG|thumb|mahali pake]]
'''Java''' ni kisiwa cha [[Indonesia]]. Kiko upande wa kusini-mashariki wa kisiwa cha [[Sumatra]]. Eneo la kisiwa ni 138,794 [[kilomita ya mraba|km²]]. Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Jakarta. Mwaka wa 2014 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa milioni 143 . Watu wakaao kisiwani kwa Java huongea lugha mbalimbali, hasa [[Kijava]], [[Kisunda]] na [[Kimadura]].