Visiwa vya Maluku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Map of Maluku Islands-en.svg|350px|thumb|Ramani ya Maluku; Maluku Utara = Maluku Kaskazini]]
[[Picha:IndonesiaMalukuIslands|thumb|Maluku katika Indonesia]]
'''Visiwa vya Maluku''' (ing.kwa [[Kiingereza]]: ''Moluccas'') ni [[kundi]] la [[visiwa]] nchini [[Indonesia]] vilivyopo baina ya [[Sulawesi]] na [[Guinea Mpya]].
 
Eneo lote la Maluku ni takriban [[kilomita za mraba]] 850,000 lakini nchi kavu yaani visiwa vyenyewe ambavyo ni 1,027 ni [[km<sup>²</sup>]] 74,505 pekee. Wakazi ni takribani milioni 2.8.
'''Visiwa vya Maluku''' (ing. ''Moluccas'') ni kundi la visiwa nchini [[Indonesia]] vilivyopo baina ya [[Sulawesi]] na [[Guinea Mpya]].
 
Wakazi ni takribani [[milioni]] 2.8.
Eneo lote la Maluku ni takriban kilomita za mraba 850,000 lakini nchi kavu yaani visiwa vyenyewe ambavyo ni 1,027 ni km<sup>²</sup> 74,505 pekee. Wakazi ni takribani milioni 2.8.
 
Maluku ilikuwa jimbo la Indonesia hadi mwaka [[1999]] ilipogawiwalilipogawiwa kuwa majimbo mawili
* Maluku katika [[kusini]], pamoja na kiswakisiwa kikuu cha [[Ambon]]; seheu hii ina [[Wakristo]] wengi
* Maluku Utara au Maluku [[Kaskazini]] pamoja na kisiwa kikuu cha [[Halmahera]]; sehemu hii ina [[Waislamu]] wengi
 
Visiwa vya Maluku vilijulikana kama "visiwaVisiwa vya viungo" (spiceSpice islands) na [[Waarabu]], [[Wareno]] na [[Waholanzi]] walishindana hapa kutawala [[biashara]] miaka 500 iliyopita hadi Maluku pamoja na visiwa vingine vya Indonesia vilikuwavilipata kuwa [[koloni]] yala [[Uholanzi]].
 
Hadi leo [[kilimo]] cha [[karafuu]] na [[kungumanga]] ni muhimu [[Uchumi|kiuchumi]] pamoja na [[uvuvi]].
 
Wakazi ni mchanganyiko hasa wa [[Wamalay]] pamoja na [[Wamelanesia]]. Upande wa [[dini]] Wareno walifaulu kuvuta wenyeji wengi upande wa [[Ukristo]] ilhai sehemu nyingine za Indonesia walihamia zaidi upande wa [[Uislamu]] lakini juzijuzi watu wengi walifika kutoka pande nyingine za Indonesia na, wengi wao walikuwawakiwa Waislamu.
 
BaibaBaina ya [[mwaka]] [[1999]] na [[2002]] kuliuwakulikuwa na mapigano baina ya Wakristo na Waislamu na watu wengi walifukuzwa makwao;: maelfu walipoteza maisha[[uhai]] na takriban [[nusu]] milioni walifukuzwa kutoka makazi yao.
 
== Marejeo Tanbihi==
===Tanbihi===
{{Reflist}}
===Marejeo===
* Andaya, Leonard Y. (1993). ''The World of Maluku: Eastern Indonesia in the Early Modern Period''. Honolulu: University of Hawai'i Press. ISBN 0-8248-1490-8}}.
* Bellwood, Peter (1997). ''Prehistory of the Indo-Malaysian archipelago''. Honolulu: University of Hawai'i Press. ISBN 0-8248-1883-0}}.
Mstari 46:
{{coord|2|00|S|128|00|E|region:ID_type:isle|display=title}}
[[Category:Visiwa vya Indonesia]]
 
[[Category:Indonesia]]