Visiwa vya Maluku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Map of Maluku Islands-en.svg|350px|thumb|Ramani ya Maluku; Maluku Utara = Maluku Kaskazini]]
[[Picha:IndonesiaMalukuIslands|thumb|Maluku katika Indonesia]]
'''Visiwa vya Maluku''' (kwa [[Kiingereza]]: ''Moluccas'') ni [[kundi]] la [[visiwa]] nchini [[Indonesia]] vilivyopo baina ya [[Sulawesi]] na [[Guinea Mpya]].
 
Line 7 ⟶ 6:
Wakazi ni takribani [[milioni]] 2.8.
 
Maluku ilikuwa [[jimbo]] la Indonesia hadi mwaka [[1999]] lilipogawiwa kuwa majimbo mawili
* Maluku katika [[kusini]], pamoja na kisiwa kikuu cha [[Ambon]]; seheu hii ina [[Wakristo]] wengi
* Maluku Utara au Maluku [[Kaskazini]] pamoja na kisiwa kikuu cha [[Halmahera]]; sehemu hii ina [[Waislamu]] wengi