Ombwe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
tjyghtjhyjyttjym
No edit summary
Mstari 1:
'''Ombwe''' (kwa [[ing.Kiingereza]] ''na [[lugha]] nyingi za [[dunia]] neno la [[Kilatini]] "vacuum''" hutumiwa) kwa maana ya [[sayansi]] ni hali pasipo na [[kitu]], nafasi pasipo na [[mata]]. [[Neno]] hutumiwa hasa kwa hali pasipo na [[gesi]] au [[angahewa]]. Katika lugha nyingi za dunia neno la kilatini "vacuum" hutumiwa.
 
Hali halisi si rahisi kupata mahali duniani pasipo na kitu chochote kabisa. Mara nyingi [[anga la nje|anga-nje]] la [[ardhi]] yetu huitwa "ombwe". Lakini hata katika ombwe hii kuna mata kidogo. Kwa hiyo "Ombweombwe" mara nyingi ni hali ambakoambapo kiasi cha gesi au hewa kimepungukiwakimepungua sana ndani ya chombo na hapa kuna matumizi ya kiuchumi kwa mfano kutunza [[vyakula]] ndani ya mifuko ambako [[hewa]] nyingi imetolewa nje na hivyo vyakula vinadumu [[muda]] mrefu zaidi kwa sababu ya uhaba wa [[oksijeni]] ndani ya mfuko.
 
 
OMBWE-OMBWE
 
Ombwe-Ombwe is a professional football player who plays for JoeyRodensMagic. He is from the Democratic republic of the Congo.
 
== Marejeo ==
* [http://www.vakuum-bohemia.cz/vacuum_pumps.php Industrial vacuum information]
{{mbegu-sayansi}}
 
[[Jamii:Fizikia]]