Ufalme wa Muungano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 95:
 
==Wakazi==
Wenyeji wengi wana asili ya [[makabila ya Kigermanik|Kigermanik]] na ya [[Waselti|Kiselti]], lakini [[uhamiaji]] mkubwa umefanya sasa 4% wawe na asili ya [[Asia]], 2% wana asili ya Afrika, 1.2% ni [[Chotara|machotara]], n.k.
 
Upande wa [[dini]], kadiri ya [[sensa]] ya mwaka [[2011]], 59.5% za wakazi ni [[Wakristo]] (hasa wa [[Anglikana]], halafu [[Wakatoliki]], [[Wakalvini]] na wengineo), 4.4% ni [[Waislamu]], 1.3% ni [[Mabanyani]]. 25.7% hawana dini yoyote.