Hema : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
spam
 
Mstari 7:
Mahema madogo yanatumiwa pia kama kinga ya muda kwa [[burudani]] kama camping au [[matembezi]] marefu. Mahema makubwa zaidi hutumiwa na [[jeshi]] kwa kambi za muda, pia wakati wa [[maafa]] kama watu hawana [[nyumba]] tena: kwa mfano baada ya [[tetemeko la ardhi]] au [[mafuriko]]. Mahema makubwa sana zatumiwa kwa mikutano mahali pasipo [[ukumbi]] mkubwa kiasi cha kutosha.
 
Katika [[ukulima]] wa kisasa hema pia hutumika kukuzia [[mimea]] kama vile katika ukuzaji wa mimea bila [[mchanga]] unaojulikana kwa [[Kiingereza]] kama ''Hydroponic.''<ref>{{Cite web|url=https://www.maximumyield.com/definition/4571/grow-tent|title=What is Grow Tent? - Definition from Maxyield|language=en|work=www.maximumyield.com|accessdate=2019-07-02}}</ref> Mahema hayo maarufu kama ''Grow Tents'' yana miundo na ukubwa tofauti na hukinga mimea kutokana na athari za hali ya [[anga]], [[wadudu]] na [[wanyama]] waharibifu au kukuziwa mimea inayohitaji kutunzwa kwa makini<ref>{{Cite web|url=http://gardenclub.homedepot.com/reasons-use-grow-tent/|title=7 Reasons to Use a Grow Tent|date=2017-12-12|language=en-US|work=The Home Depot Garden Club|accessdate=2019-07-02}}</ref>. Hema za kukuzia mimea ni maarufu sana na wakulima wa miche na wakulima wa [[mbangi]].<ref>{{Cite web|url=http://growtentexperts.com/|title=Grow Tent Experts: Weed Grow Tent Reviews & Buying Guide 2018|language=en-US|work=Grow Tent Experts|accessdate=2019-07-02}}</ref>
 
==Picha==