Nyaraka za Kichungaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
No edit summary
Mstari 1:
'''Nyaraka za Kichungaji''' ni [[kundi]] la [[maandiko]] ya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia ya Kikristo]]. [[Jina]] hilo linajumlisha [[barua]] [[moja]] kwa [[Tito]] na [[mbili]] kwa [[Timotheo]], ambao walikuwa washiriki wakuu wa [[kazi]] ya [[Mtume Paulo]], wakawa [[mwandamizi|waandamizi]] wake.
 
[[Wataalamu]] wanabishana sana kuhusu [[mtunzi]] wa barua hizo, wengi wakidhani zimeandikwa na mfuasi wa Paulo [[mwaka]] [[95]] hivi, huku wengine wakishikilia aliziandika mwenyewe, kwa msaada wa [[karani]] fulani, miaka ya mwisho ya [[maisha]] yake ([[63]]-[[67]]), ambapo baada ya kufunguliwa aliweza kusafiri tena [[mashariki]] ([[Ugiriki]] na nchi za kandokando) na pengine hata [[magharibi]] ([[Hispania]]).
 
[[BaruaWaraka yawa pili kwa Timotheo]] inaonekanaunaonekana kama [[wasia]] wake alioandikaaliouandika kifungoni akisubiri kuuawa.
 
Barua hizo zinaitwa za kichungaji kwa kuwa ziliandikwa kwa ma[[askofu]] hao ili kuwasaidia kufanya vizuri kazi zao, hasa kwa kushika [[imani]] sahihi, kupinga [[uzushi]], kuchagua vizuri [[viongozi]] ambao wawawekee [[mikono]], kuchunga vema [[Wakristo]] wa aina mbalimbali, kuwa na mwongozo kuhusu [[ibada]], n.k.
 
Ndiyo sababu ni muhimu sana kwa miundo ya [[Kanisa]] iliyokuwa mbioni kupata sura yake ya kudumu.
 
Pamoja na hayo zinahimiza kukubali [[mateso]] kwa ajili ya [[Injili]]: ndio msimamo wa [[Mchungaji mwema]] ([[waraka kwa Tito|Tito]] 1:5-9; 2; [[1Tim]] 1:18-2:10; 3:1-4:16; 6:2b-21; [[2Tim]]. 1:3-14; 2:1-18; 3:14-17; 4:1-8).
{{mbegu-Biblia}}
 
[[Jamii:Mtume Paulo]]
 
[[Category:Vitabu vya Agano Jipya|Nyaraka]]