Saturus wa Karthago : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Verrière de Sainte Perpétue (église Notre-Dame de Vierson, XIXe siècle).jpg|right|250px|thumb|[[Kifodini]] cha Mt. Perpetua na wenzake katika vioo vya [[kanisa]] la [[Bikira Maria]] huko [[Vierzon]] (karne ya XIX).]]
'''Saturus wa Karthago''' ni mmoja wa mashahidi wa [[imani]] ya [[Ukristo|Kikristo]] waliouawa tarehe [[7 Machi]] [[203]] mjini [[Karthago]] wakati wa [[dhuluma]] dhidi ya Wakristo chini ya [[serikali]] ya [[Kaisari]] [[Septimius Severus]] ([[193]]-[[211]]).
 
Anaheshimiwa kati ya [[watakatifu]] [[wafiadini]] pamoja na watakatifu [[Perpetua Mtakatifu|Perpetua]] na [[Felista Mtakatifu|Felista]] wanaojulikana zaidi kama mashahidi Wakristo wa [[Afrika ya Kaskazini]].
Mstari 11:
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]