John F. Kennedy : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 46:
}}
 
'''John Fitzgerald Kennedy''' ([[29 Mei]] [[1917]] – [[22 Novemba]] [[1963]]) alikuwa [[Rais]] wa [[Marekani]] kuanzia [[mwaka]] [[1961]] hadi alipouawa.
 
==Maisha==
Alikuwa [[mtoto]] wa pili katika [[familia]] ya watoto 9. [[Baba]] yake alikuwa [[mfanyabiashara]] maarufu wa [[ukoo]] wenye asili ya [[Ueire|KiirishEire]].
 
[[Vita Kuu ya Pili]] ilipoanza alijiunga na [[jeshi la wanamaji]]. Mwaka [[1943]] alijeruhiwa katika [[shambulio]] lililofanywa na [[ndege za kivita]] za [[Japani]].
 
Mwaka wa 1957 Kennedy alituzwa '''[[Tuzo ya Pulitzer ya Wasifu]]''' kwa ajili ya wasifu ya wabunge wanane wa [[Senati ya Marekani]]; kitabu kiliitwa ''Profiles in Courage''.
 
Mwaka [[1947]] alianza kujiingiza katika [[siasa]] na mwaka [[1960]] alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani. Ni rais pekee muumini wa [[Kanisa Katoliki]] katika [[historia]] ya nchi hiyo.
Mstari 67:
 
{{Marais wa Marekani}}
 
{{mbegu-mwanasiasa}}
 
{{DEFAULTSORT:Kennedy, John Fitzgerald}}
<!-- interwiki -->
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1917]]