Lugha za Kihindi-Kiulaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Sprachfamilien der Welt (non Altai).png|thumb|350px|UsambazajiUenezi wa lugha za Kihindi-Kiulaya (kijani cheupe) kati ya jamii za lugha zinginenyingine duniani.]]
[[Picha:IE5500BP.png|thumb|232px|right|UenezajiUenezi wa wasemaji wa [[Kihindi-Kiulaya asilia]] kufuatana na [[nadharia ya Kurgan]]]]
[[Picha:IE4500BP.png|thumb|232px|right|UenezajiUenezi katikati ya [[milenia ya 3 KK]]]]
[[Picha:IE3500BP.png|thumb|232px|right|UenezajiUenezi katikati ya [[milenia ya 2 KK]]]]
[[Picha:IE2500BP.png|thumb|232px|right|UenezajiUenezi takriban mwaka [[250 KK]]]]
'''Lugha za Kihindi-Kiulaya''' ni [[jamii]] ya [[lugha]] iliyo kubwa kuliko zote [[duniani]]. Kuna wasemaji [[bilioni]] 2.5 katika [[Bara|mabara]] yote.
 
Mstari 14:
 
== Nadharia ya asili na usambazaji ==
Inaaminika ya kwamba lugha hizihizo zilikuwa na [[asili]] ya pamoja katika lugha isiyojulikana tena ya [[Lugha za Kihindi-Kiulaya|Kihindi-Kiulaya]] asilia.
 
Wasemaji wake wanaaminiwa kuwa walisambaa takriban miaka 6.,000 iliyopita kutoka sehemu za [[Asia ya Magharibi]]. Sehemu ilihamia kwendailikwenda [[magharibi]] na kuingia Ulaya, sehemu nyingine ilihamia kwendailikwenda [[Uajemi]] na [[Bara Hindi]].
 
Kuna [[nadharia]] mbalimbali kuhusu historia hiyo.
 
Kati ya lugha hizihizo kuna zifuatazo:
::''( † inamaanisha ya kwamba lugha hii haina wasemaji tena kama [[lugha hai]])''