107,146
edits
No edit summary |
No edit summary |
||
[[File:Guadeloupe creole 2010-03-30.JPG|thumb|Bango barabarani likitumia krioli ya [[Guadeloupe]].]]
'''Krioli''' ni [[lugha]]<ref>[http://semantics.uchicago.edu/kennedy/classes/sum07/myths/creoles.pdf The study of pidgin and creole languages]</ref><ref>[http://euljss.eul.edu.tr/euljss/si526.pdf Language varieties: Pidgins and creoles]</ref><ref>[https://www.acsu.buffalo.edu/~jcgood/jcgood-JPCL.pdf Typologizing grammatical complexities, or Why creoles may be paradigmatically simple but syntagmatically average]</ref> inayotokana na matumizi ya [[pijini]] kwa muda mrefu. Yaani ni pijini iliyokua na kupata wasemaji wake asilia. Hivyo basi hapawezi kuwa na krioli pasipokuwa na pijini.
Lugha hii huwa na miundo changamano. Pia inayo [[msamiati]] mwingi kutoka lugha mbalimbali, jambo linaloitofautisha pakubwa na lugha asilia.
[[Idadi]] ya lugha za aina hiyo ni walau 100, na nyingi kati yake zimetokana na lugha za [[Ulaya]].
Krioli kubwa zaidi ni ile ya [[Haiti]], yenye wasemaji zaidi ya [[milioni]] 10<ref>{{cite web|last1=Valdman|first1=Albert|title=Creole: The national language of Haiti |url=http://www.indiana.edu/~creole/creolenatllangofhaiti.html|website=www.indiana.edu|accessdate=October 9, 2017}}</ref>.
==Tazama pia==
*[[Pijini na krioli]]
==Viungo vya nje==
{{Commons category|Creole languages}}
* [https://kreolmagazine.com/ International Magazine Kreol]
* [http://www.acblpe.com/en Association of Portuguese and Spanish Lexically-based Creoles]
* [http://www.hawaii.edu/satocenter/langnet/index.html Language Varieties]
* {{Answers.com|creoles}}
* [http://www.odlt.org/ballast/creole.html Creole definition] at the Online Dictionary of Language Terminology (ODLT)
* [http://www.louisianacreoledictionary.com/ Louisiana Creole Dictionary]
* [https://sites.google.com/site/societypidgncreolelinguistics/home Society for Pidgin & Creole Linguistics]
{{mbegu-lugha}}
[[Jamii:Lugha]]
[[Jamii:Krioli]]
|