Kiafrikana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Kiafrikaans wasemaji Afr Kus.gif|thumbnail|300px|right|[[Afrika Kusini#Majimbo ya Afrika Kusini|Majimbo ya Afrika Kusini]] penyeyenye wasemaji wengi au wengi kidogo wa Kiafrikaans kama lugha ya kwanza]]
'''Kiafrikaans''' ('''Afrikaans''') ni [[lugha]] ya [[Afrika Kusini]] iliyotokea katika [[karne]] nne zilizopita kwenye [[msingi]] wa [[Kiholanzi]] pamoja na athari za lugha mbalimbali. Imekuwa lugha rasmi katika Afrika Kusini tangu mwaka 1925 badala ya Kiholanzi. Hata kama ni lugha iliyozaliwa [[Afrika]] kitaalamu ni kati ya [[lugha za [[Kigermanik]].
 
Imekuwa [[lugha rasmi]] katika Afrika Kusini tangu [[mwaka]] [[1925]] badala ya Kiholanzi.
Kiafrikaans ina wasemaji wa lugha ya kwanza milioni sita na milioni kumi wasemaji kama lugha ya pili.
 
Kiafrikaans ina wasemaji wa [[lugha ya kwanza]] [[milioni]] [[sita]] na milioni [[kumi]] wasemaji kama [[lugha ya pili]].
Kiasili kimetokea kama lugha ya [[makaburu]] ya Afrika Kusini lakini imekuwa pia lugha ya wakazi chotara katika jimbo la [[Rasi Magharibi]] ("Cape Coloureds"). Leo hii wasemaji wa asili ya Ulaya ni chini ya nusu ya wasemaji wote wa Kiafrikaans.
 
Kiasili kimetokea kama lugha ya [[makaburu]] ya Afrika Kusini lakini imekuwa pia lugha ya wakazi [[chotara]] katika [[jimbo]] la [[Rasi Magharibi]] ("Cape Coloureds"). Leo hii wasemaji wa asili ya [[Ulaya]] ni chini ya [[nusu]] ya wasemaji wote wa Kiafrikaans.
Ni lugha rasmi mojawapo Afrika Kusini pamoja na lugha 9 nyingine. Ni pia kati ya lugha ya kitaifa huko [[Namibia]].
 
Ni lugha rasmi mojawapo Afrika Kusini pamoja na lugha 9 nyingine. Ni pia kati ya [[lugha ya kitaifataifa|lugha za taifa]] huko [[Namibia]].
 
== Viungo vya nje ==
Line 18 ⟶ 20:
[[Jamii:Kiafrikaans| ]]
[[Jamii:Lugha za Afrika Kusini]]
[[Jamii:Lugha za Namibia]]
[[Jamii:Lugha za Kigermanik]]