Kiafrikana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Kiafrikaans''' ('''Afrikaans''') ni [[lugha]] ya [[Afrika Kusini]] iliyotokea katika [[karne]] nne zilizopita kwenye [[msingi]] wa [[Kiholanzi]] pamoja na athari za lugha mbalimbali. Hata kama ni lugha iliyozaliwa [[Afrika]] kitaalamu ni kati ya [[lugha za Kigermanik]].
 
Imekuwa [[lugha rasmi]] katika Afrika Kusini tangu [[mwaka]] [[1925]] badala ya Kiholanzi. Hadi sasa ni lugha rasmi mojawapo Afrika Kusini pamoja na lugha 9 nyingine. Ni pia kati ya [[lugha ya taifa|lugha za taifa]] huko [[Namibia]].
 
Kiafrikaans ina wasemaji wa [[lugha ya kwanza]] [[milioni]] [[sitasaba]] na milioni [[kumi]] wasemaji kama [[lugha ya pili]].
 
Kiasili kimetokea kama lugha ya [[makaburu]] ya Afrika Kusini lakini imekuwa pia lugha ya wakazi [[chotara]] katika [[jimbo]] la [[Rasi Magharibi]] ("Cape Coloureds"). Leo hii wasemaji wa asili ya [[Ulaya]] ni chini ya [[nusu]] ya wasemaji wote wa Kiafrikaans.
 
Inatumika pia [[Botswana]], [[Eswatini]] na [[Zimbabwe]].
Ni lugha rasmi mojawapo Afrika Kusini pamoja na lugha 9 nyingine. Ni pia kati ya [[lugha ya taifa|lugha za taifa]] huko [[Namibia]].
 
== Viungo vya nje ==
Mstari 21:
[[Jamii:Lugha za Afrika Kusini]]
[[Jamii:Lugha za Namibia]]
[[Jamii:Lugha za Botswana]]
[[Jamii:Lugha za Eswatini]]
[[Jamii:Lugha za Zimbabwe]]
[[Jamii:Lugha za Kigermanik]]