Panfilo na wenzake : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Panfilo na wenzake''' (walifia dini 16 Februari 309) ni kundi la Wakristo 12 waliouawa huko Kaisarea ya Palestina kwa ajili...'
 
No edit summary
Mstari 3:
Wa kwanza kuuawa walikuwa Wakristo 5 wa [[Misri]]: Elia, Yeremia, Isaya, Samweli na Danieli ambao waliteswa na hatimaye kuuawa kwa [[upanga]].
 
Baada yao waliuawa [[padri]] Panfilo (mzaliwa wa [[Beirut]], leo nchini [[Lebanoni]]), [[shemasi]] Valens wa [[Yerusalemu]], Paulo wa Iamnia, Porfiri, Seleuko wa Kapadokia, Teodulo na hatimaye Juliani wa Kapadokia aliyechomwa moto taratibutaratibu.
 
Sifa yao imedumishwa na [[maandishi]] ya [[Eusebi wa Kaisarea]], aliyekuwa [[mwanafunzi]] wa Panfilo na ameshuhudia pia [[utaalamu]] wake kuhusu [[Biblia]].
 
Panfilo aliandika [[vitabu]] vitatu vya kumtetea [[Origen]], lakini kimetufikia cha kwanza tu.
Tangu kale wanaheshimiwa kama [[watakatifu]] [[wafiadini]].
Tangu kale wanaheshimiwa na [[Wakatoliki]] na [[Waorthodoksi]] kama [[watakatifu]] [[wafiadini]].
 
[[Sikukuu]] yao huadhimishwa [[tarehe]] ya [[kifo]] chao au tarehe [[1 Juni]].
 
[[Sikukuu]] yao huadhimishwa [[tarehe]] ya [[kifo]] chao.
==Tazama pia==
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
Line 15 ⟶ 18:
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
*[[Mababu wa Kanisa]]
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
==Viungo vya nje==
*[http://www.ccel.org/fathers2/NPNF2-03/Npnf2-03-33.htm Pamphilus, ''Defence of Origen'']: Introduction to Book 1, from Rufinus' Latin version (in English)
[[Category:Waliofariki 309]]
[[Category:Wafiadini Wakristo]]
[[Jamii:Watakatifu wa Palestina]]
[[Jamii:Watakatifu wa Lebanoni]]
[[Jamii:Watakatifu wa Misri]]
[[Jamii:Watakatifu wa Uturuki]]
[[Jamii:Mababu wa Kanisa]]