Kamusi elezo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kiungo
No edit summary
Mstari 2:
'''Kamusi elezo''' (pia: '''ensiklopedia''') ni [[kitabu]] kinachojaribu kukusanya [[ujuzi]] wote wa [[binadamu]].
 
Siku hizi, [[Wikipedia]] ni kamusi elezo kubwa zaidi duniani lakini si kitabu cha karatasi, ni mkusanyiko wa habari kwa umbo dijitali kaika intaneti. Zamani (kabla ya kuja kwa Wikipedia) [[Encyclopedia Britannica]] ilikuwa kati ya kamusi elezo kubwa zaidi ikitolewa kama vitabu vivyochapishwa.
 
Katika [[historia]] zilikuwepo majaribio mbalimbali ya kukusanya ujuzi wote wa [[dunia]]. Mfano bora wa kale ni [[kamusi ya Yongle]] kutoka [[China]] iliyotungwa na wataalamu 2000 katika [[karne ya 14]] na kuandikwa kwa [[mkono]] katika vitabu 1100.