Kamusi elezo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:UBN Encyclopaedia Britannica.JPG|300px|thumbnail|[[Encyclopedia Britannica]] ilikuwa kamusi elezo mashuhuri zaidi [[duniani]] hadi kuja kwa Wikipedia.]]
'''Kamusi elezo''' (pia: '''ensiklopedia''') ni [[kitabu]] kinachojaribu kadiri iwezekanavyo kukusanya [[ujuzi]] wote wa [[binadamu]].
 
Siku hizi, [[Wikipedia]] ni kamusi elezo kubwa zaidi [[duniani]] lakini si kitabu cha [[karatasi]], ni mkusanyikomkusanyo wa habari kwa [[umbo]] [[Dijiti|dijitali]] kaikakatika [[intaneti]]. Zamani (kabla ya kuja kwa Wikipedia) [[Encyclopedia Britannica]] ilikuwa kati ya kamusi elezo kubwa zaidi ikitolewa kama vitabu vivyochapishwa.
 
Katika [[historia]] zilikuwepo majaribio mbalimbali ya kukusanya ujuzi wote wa [[dunia]]. Mfano bora wa kale ni [[kamusi ya Yongle]] kutoka [[China]] iliyotungwa na wataalamu 2000 katika [[karne ya 14]] na kuandikwa kwa [[mkono]] katika vitabu 1100.