Content deleted Content added
Tag: MassMessage delivery
Mstari 991:
:::Kwa kuendelea kuuliza kuhusu Cicada, nimejibiwa kuwa jina lake ni Nyenje, Nyenze au Chenene. --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni#top|majadiliano]])''' 14:43, 20 Julai 2019 (UTC)
::::Asante sana kwa juhudi zako. Ndiyo, hata mimi nilipata majina haya. Inaonekana kama watu wanachanganya wadudu hao kwa sababu wanapiga kelele iliyo takriban sawa. '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo|majadiliano]])''' 19:48, 27 Julai 2019 (UTC)
:::::Riccardo salaam. Ninarudi kwako ili kukuuliza mara nyingine tena kwamba jina "kunguni-mgunda" linaweza kutumiwa kutafsiri "true bugs". Walimu hawa hawana maoni kuhusu jina hili? Amani kwako. '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo|majadiliano]])''' 15:04, 7 Oktoba 2019 (UTC)
 
== spam links ==