Mlangobahari wa Davis : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
No edit summary
Mstari 2:
[[File:Sisimiut-nasaasaaq-from-palasip-qaqqaa.jpg|thumb|right|Pwani la mlangobahari wa Davis katika Greenland]]
 
'''Mlangobahari wa Davis''' (ing. '''Davis Strait''') ni mkono wa kaskazini wa [[Bahari ya Labrador]]. Unatenganisha [[Greenland]] upande wa mashariki na [[Kisiwa cha Baffin]] cha [[Nunavut]], [[Kanada]] upande wa mgharibi.
 
Jina linatokana na Mwingereza [[John Davis (nahodha Mwingereza)|John Davis]] (1550–1605), aliyepeleleza eneo hili alipotafuta [[mpito wa kaskazini-magharibi]] kati ya [[Atlantiki]] na [[Pasifiki]] katika karne ya 16.