Bahari ya Mashariki ya China : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Bahari ya Uchina ya Mashariki hadi Bahari ya Mashariki ya China: kusanifisha jina
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:East China Sea Map.jpg|thumb|right|250px|[[Ramani]] ya Bahari ya Uchina ya Mashariki, inaonyesha kanda iliyoizunguka, visiwa na nchi.]]
'''Bahari ya UchinaMashariki ya MasharikiChina''' (ing. ''East China Sea'') ni [[bahari ya pembeni]] iliyopo kando ya [[mashariki]] mwa nchi ya [[UchinaChina]], pamoja na [[Bahari ya Njano]]
na [[Bahari ya China Kusini ya China]].<ref>Pinxian Wang, Qianyu Li, Chun-Feng Li, ''Geology of the China Seas'' (2014), p. 667.</ref> <ref>"The four seas of China, the Bohai Sea, the Huanghai Sea, the East China Sea, and the South China Sea, occupy a total area of about 4.7 million km2, half of the area of China mainland. These seas are located in the southeastern margin of the Eurasian continent and subject to the interactions between the Eurasian, Pacific, and Indian-Australian plates. The seas have complicated geology and rich natural resources". Zhou Di, Yuan-Bo Liang, Chʻeng-kʻuei Tseng, ''Oceanology of China Seas'' (1994), Volume 2, p. 345.</ref>
 
[[Bahari]] hiyo ni sehemu ya [[Bahari ya Pasifiki]] na inachukuaina eneo la [[kilomita za mraba]] zipatazo 1,249,000. Nchini [[UchinaChina]], bahari hii inaitwa '''Bahari ya Mashariki'''.
 
Nchini [[Korea Kusini]], bahari hii kuna kipindi huitwa '''Bahari ya Kusini''', lakini hii mara nyingi hutumiwa kutajia eneo la karibu na pwani ya kusini mwa nchi ya [[Korea Kusini]].