Content deleted Content added
Mstari 992:
::::Asante sana kwa juhudi zako. Ndiyo, hata mimi nilipata majina haya. Inaonekana kama watu wanachanganya wadudu hao kwa sababu wanapiga kelele iliyo takriban sawa. '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo|majadiliano]])''' 19:48, 27 Julai 2019 (UTC)
:::::Riccardo salaam. Ninarudi kwako ili kukuuliza mara nyingine tena kwamba jina "kunguni-mgunda" linaweza kutumiwa kutafsiri "true bugs". Walimu hawa hawana maoni kuhusu jina hili? Amani kwako. '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo|majadiliano]])''' 15:04, 7 Oktoba 2019 (UTC)
::::::Ndugu, nimemuuliza mwalimu mmoja. Ameridhika na jina hilo. Hongera na amani kwako! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni#top|majadiliano]])''' 08:48, 8 Oktoba 2019 (UTC)
 
== spam links ==