Bahari ya Celebes : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 14:
 
== Ekolojia ==
[[File:Enoploteuthis.jpg|thumb|[[Ngisi]] wa jenasi ''[[Enoploteuthis]]'' utoka Bahari ya Celebes]]
Bahari ya Celebes ina maji vuguvugu na safi. Kuna spishi nyingi zinazopatikana hapa kama vile [[nyangumi]], [[pomboo]], [[kasa]], [[Taa (samaki)|taa]], [[mizira]] na [[jodari]]. [[Miwani]] huvunwa pia. Upande wa [[matumbawe]] spishi 580 kati ya 793 zinazojenga miamba ilitazamiwa hapa.