Tofauti kati ya marekesbisho "Matumbawe"

1,359 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
Removed redirect to Mwamba tumbawe
(Kipala alihamisha ukurasa wa Matumbawe hadi Mwamba tumbawe)
Tag: New redirect
 
(Removed redirect to Mwamba tumbawe)
Tag: Removed redirect
 
[[Picha:Coral stained hg.jpg|300px|thumb|Jamii ndogo ya matumbawe iliyokatwa; sehemu iliyokuwa hai imetiliwa rangi]]
#REDIRECT [[Mwamba tumbawe]]
'''Matumbawe''' ni wanyama wadogo wa [[faila]] [[Cnidaria]] ya [[wanyama-upupu]].
 
Kila mnyama ana umbo la mfuko mwenye urefu wa milimita au sentimita chache; uwazi upande mmoja ni [[mdomo]] na pia [[mkundu]] unaoviringishwa na [[minyiri]].
 
Kuna aina nyingi na tofauti za matumbawe lakini kwa jumla hawatembei bali hukaa pamoja chini ya maji ya bahari mahali pamoja. Spishi nyingi za matumbawe hujijengea [[kiunzi nje]] wakitumia chokaa kinachopatikana katika maji ya bahari na kujenga ama msingi wa kukaa imara au chumba kidogo cha kujikinga. Wakati tumbawe anakufa wengine huendelea kijenga juu ya viunzi nje vitupu vya watangulizi vyao. Kwa njia mwamba tumbawe unaanza kukua; visiwa vingi vya bahari tropiki vimefanywa na mwamba tumbawe.
 
== Other websites ==
*[http://research.myfwc.com/features/category_main.asp?id=1340 Coral Reefs and Hard Grounds information] from the Florida Fish and Wildlife Conservation Commission [http://research.myfwc.com/ Fish and Wildlife Research Institute]
* [http://www.nature.org/joinanddonate/rescuereef/ Coral Reefs of the Tropics]: facts, photos and movies from The Nature Conservancy
* [http://www.aims.gov.au/pages/auscore/auscore-00.html Australian Coral Records Research Group]
{{Commonscat|Coral}}
 
[[Category:Cnidaria]]