Warshawa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 17:
|website = http://www.um.warszawa.pl/
}}
'''Warshawa''' (kwa [[Kipoland]]: ''Warszawa''; kwa [[Kiingereza]] ''Warsaw'') ni [[mji mkuu]] wa [[Poland]] pia [[mji]] mkubwa wa nchi, wenye wakazi [[milioni]] [[mbili]] hivi (1.778 mln - 20142018).
[[Picha:Warsaw-Castle-Square-2.jpg|thumb|400px|Kitovu cha kihistoria cha Warshawa.]]
 
Mstari 24:
 
== Historia ==
Warshawa imekuwa mji tangu [[karne ya 1513]], ikawa mji mkuu wa Poland mwaka [[1596]].
 
Iliharibiwa mara nyingi katika [[historia]] yake, hasa wakati wa [[vita kuu ya pili ya dunia]]. Wapoland walijaribu kuasi dhidi ya Wajerumani walioshika mji kati ya miaka [[1939]] na [[1944]]; pamoja na vifo vingi, [[asilimia]] 90 za [[nyumba]] zote ziliharibiwa.
 
Baada ya [[vita]] mji ulijengwa upya mara nyingi kwa kurudisha nyumba zinazofanana na nyumba za kale.
 
[[Kitovu]] chake kimeorodheshwa na [[UNESCO]] kati ya mahali pa [[Urithi wa Dunia]].
 
== Utamaduni ==
Line 48 ⟶ 50:
</gallery>
 
==Tazama pia==
== Viungo vya Nje ==
* [[Orodha ya miji ya Polandi]]
 
== Viungo vya Njenje ==
{{commons|Warsaw}}
* [http://www.e-warsaw.pl/index.php Tovuti rasmi]
Line 58 ⟶ 63:
[[Jamii:Miji ya Poland]]
[[Jamii:Miji Mikuu Ulaya]]
[[Jamii:Urithi wa Dunia]]