Maji matamu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 4:
Kwa kawaida maji ya [[mvua]], ya [[mto]]ni au [[ziwa]]ni huitwa "maji matamu" maana yake ya kwamba kimsingi inafaa kwa kunywa au kumwagilia [[mmea|mimea]] hata kama mara nyingi inaweza kupatikana na matope au machafuko ndani yake. Kinyume chake ni [[maji ya chumvi]] jinsi inavyopatikana baharini au katika maziwa kadhaa.
Kitaalamu maji huitwa "matamu" kama kiwango cha chumvi ndani yake ni chini ya [[asilimia]] 0.1 au [[gramu]]
Chumvi ikizidi maji pia hayafai kwa mimea mengi. Kama maji matamu yana kiasi kikubwa cha bakteria au machafuko ndani yake hayafai kwa matumizi ya kibinadamu moja kwa moja lakini inawezekana kusafishwa kwa njia ya [[filta]].
Sehemu kubwa ya maji matamu yanayopatikana [[dunia]]ni ni [[theluji]] na [[barafu]] ambayo ni hasa [[mvua]] iliyowahi kuganda katika hali ya hewa baridi.
|