Volkeno : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 18:
 
==Mlipuko wa volkeno==
[[Picha:Raikoke Volcano Erupts (48132762546).jpg|300px|thumb|Wingu la mlipuko wa volkeno Raikoke kwenye [[Kurili]] jinsi ilivzoonekana kutoka satelaiti ya [[NASA]] tar. 22/06/2019]]
[[Mlipuko wa volkeno]] ni hatari sana kwa ajili ya [[wanadamu]] na [[mazingira]]. Hiyo hatari ni kubwa zaidi pale ambako volkeno ililala kama volkeno bwete kwa miaka mingi, labda elfu kadhaa. Hapo mara nyingi watu wamevutwa na [[udongo]] wenye [[rutuba]] kutokana na majivu ya volkeno wajenge makazi na kulima. Kama hapo volkeni inageuka kuwa hai tena hatari ni kubwa. Kuna mifano ya [[Kifo|vifo]] vingi vilivyosababishwa na volkeno. Hasara inategema kama [[miji]] iko karibu na volkeno au la, na kama [[serikali]] zina [[huduma]] za kutazama volkeno na kuonya watu watoke mapema wakati dalili za kwanza zinatokea.