Ghuba ya Kalifornia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Created by translating the page "Gulf of California" |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Ghuba ya California''' (pia '''Bahari ya Cortez''', inajulikana kwa [[Kihispania|lugha]] ya [[Kihispania]] kama '''Mar de Cortes''' au '''Golfo de California''') sehemu ya bahari iliyopo kati ya rasi ya Baja California na [[Mexiko|Meksiko]] bara. Eneo lake ni kama km² 160,000.
==Jina na mipaka== Imepakana na majimbo ya [[Baja California (jimbo)|Baja California]], [[Baja California Sur]], [[Sonora (jimbo)|Sonora]], na [[Sinaloa]] . Kwenye ramani za kimatifa huitwa zaidi "Ghuba ya Kalifornia". Watu wa maeneo jirani hupendelea jina "Bahari ya Cortes" kwa kumbukumbu ya [[Hernando Cortes]], mtekaji Mhispania wa Mexiko.
== Jiolojia ==
Line 18 ⟶ 19:
== Tovuti za Nje ==
* [http://www.seaofcortez.org
* [http://www.desertmuseum.org/center/seaofcortez/ Jumba la
* [http://www.cedointercultural.org/
[[Jamii:Jiografia ya Meksiko]]
[[Jamii:Pasifiki]]
|