Volkeno : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 15:
Volkeno inaweza kupatikana kama volkeno hai inayoendelea kutema moto, gesi na [[majivu]]. Inaweza pia kuonekana kama volkeno bwete inayokaa kama milima mingine bila kuonyesha dalili za moto. Lakini kutokana na [[umbo]] na [[tabia]] za miamba yake inaonekana mlima huu ulijengwa kwa njia ya kivolkeno.
 
Volkeno bwete inaweza kuamka tena. Mara nyingi kuwepo kwa [[chemchemi]] za [[maji ya moto]] au kutokea kwa gesi kwenye sehemu fulani ni dalili ya kwamba bado kuna njia kati ya mlima na magma ya chini. Kipindi kati ya milipuko kinaweza kuwa cha miaka mingi.
 
==Mlipuko wa volkeno==
[[Picha:Raikoke Volcano Erupts (48132762546).jpg|300px|thumb|Wingu la mlipuko wa [[volkeno Raikoke]] kwenye visiwa vya [[Kurili]] jinsi ilivzoonekanalilivyoonekana kutoka [[satelaiti]] ya [[NASA]] tar.tarehe 22/06/ Juni 2019.]]
[[Mlipuko wa volkeno]] ni hatari sana kwa ajili ya [[wanadamu]] na [[mazingira]]. Hiyo hatari ni kubwa zaidi pale ambako volkeno ililala kama volkeno bwete kwa miaka mingi, labda elfu kadhaa. Hapo mara nyingi watu wamevutwa na [[udongo]] wenye [[rutuba]] kutokana na majivu ya volkeno wajenge makazi na kulima. Kama hapo volkeni inageuka kuwa hai tena hatari ni kubwa. Kuna mifano ya [[Kifo|vifo]] vingi vilivyosababishwa na volkeno. Hasara inategema kama [[miji]] iko karibu na volkeno au la, na kama [[serikali]] zina [[huduma]] za kutazama volkeno na kuonya watu watoke mapema wakati dalili za kwanza zinatokea.
 
Kati ya mifano ya milipuko mikali inayojulikana zaidi ni:
* mlipuko wa volkeno ya [[Vesuvio]], [[Italia]]. Iliharibu miji ya [[Pompei]] na [[Herkulaneo]] [[mwaka]] [[79]] [[BK]].
 
* mlipuko wa volkeno ya [[Vesuvio]], [[Italia]]. Iliharibu miji ya [[Pompei]] na Herkulaneo [[mwaka]] [[79]] [[BK]].
* mlipuko wa volkeno ya [[Krakatau]], [[Indonesia]] mwaka [[1883]]. Ilirusha [[Vumbi|mavumbi]] mengi [[Anga|angani]] kiasi kilichoonekana kote duniani
* mlipuko wa volkeno [[Nevado del Ruiz]], [[Kolombia]] mwaka [[1985]] uliua watu 25.000 kutokana na kuyeyusha [[theluji]] na [[barafu]] mlimani na kusababisha [[mafuriko]] ya ghafla
Line 31 ⟶ 30:
==Tazama pia==
* [[Orodha ya volkeno nchini Tanzania]]
{{mbegu-jiosayansi}}
 
[[Jamii:Volkeno]]