Ghuba ya Kalifornia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
ramani
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Wpdms nasa topo gulf of california.jpg|250px|thumb|Eneo la Ghuba ya Kalifornia.]]
[[Picha:Gulf of California.jpg|250px|thumb|Picha ya Ghuba kutoka [[satelaiti]] ya [[NASA]].]]
'''Ghuba ya California''' (pia: '''Bahari ya Cortez''', inajulikana kwa [[Kihispania|lugha]] ya [[Kihispania]] kama '''Mar de Cortes''' au '''Golfo de California'''. ing.kwa [[Kiingereza]]: '''Gulf of California''') ni sehemu ya [[bahari ]] iliyopo kati ya [[rasi]] ya [[Baja California]] na [[Mexiko|Meksiko]] [[bara]]. Eneo lake ni kama [[km² ]] 160,000.
 
==Jina na mipaka==
Imepakana na [[majimbo]] ya [[Baja California (jimbo)|Baja California]], [[Baja California Sur]], [[Sonora (jimbo)|Sonora]], na [[Sinaloa]] .
 
Kwenye [[ramani]] za kimatifakimataifa huitwa zaidi "Ghuba ya Kalifornia". Watu wa maeneo jirani hupendelea [[jina]] "Bahari ya Cortes" kwa kumbukumbu ya [[Hernando Cortes]], mtekaji [[Mhispania]] wa Mexiko.
 
== Jiolojia ==
Ghuba ya California ilitokea miaka [[milioni]] 5.3 iliyopita kutokana na miendo katika [[ganda la Dunia]] iliyoitenga na [[bamba la Amerika ya Kaskazini]] .na fanywakufanywa kama sehemu za uso wa sayari zilipohamisha Hifadhi ya Baja California mbali na [[Sahani|Bamba]] la [[Sahani|Amerika Kaskazini]].

[[Volkeno]] zilitokea katika mchkatomchakato huo na [[kisiwa]] cha [[Isla Tortuga]] ni mfano mmojammojawapo wa volkano zinazopatikana. <ref>
{{Cite web|url=http://review.nsf-margins.org/SPRCL.html|title=Science Plans RCL|publisher=review.nsf-margins.org|accessdate=2008-05-27|author=|first=}}
</ref>
 
== Visiwa ==
Ndani ya ghuba kuna visiwa viwili vikubwa, [[Isla Ángel de la Guarda]] na [[Kisiwa cha Tiburon]], pamoja na visiwa vingine vidogo.
 
== Marejeo ==
Line 20 ⟶ 22:
 
== Tovuti za Nje ==
 
* [http://www.seaofcortez.org Sea of Cortez Expedition and Education Project]
* [http://www.desertmuseum.org/center/seaofcortez/ Jumba la Desert Museum]
* [http://www.cedointercultural.org/ CEDO Intercultural]
{{mbegu-jio-Mexiko}}
 
 
 
[[Jamii:Jiografia ya Meksiko]]