Kocha : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'File:Coach Ross Lyon addresses team, St Kilda FC 01.jpg|right|thumb|Kocha mkuu wa klabu ya St Kilda bwana Ross Lyon akiwaelekeza jambo wachezaji wake wakati w...' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[File:Coach Ross Lyon addresses team, St Kilda FC 01.jpg|right|thumb|Kocha mkuu wa klabu ya St Kilda
Katika michezo, '''kocha''' (kutoka [[Kiingereza]]: ''coach'') ni mtu mwenye majukumu ya kuelekeza,
==Historia==
Neno ‘’kocha’’ limetokana na
Karne hiyo hiyo ya 19, Uingereza ilishika hatamu katika kukuza michezo. Ili mchezo uwe wa kitaalamu, ililazimu kocha awepo. Kazi hii ilidumishwa Zaidi mwaka 1994 katika enzi za Victoria. Katika vita vya kwanza vya dunia, vikosi vya kijeshi vilikuwa na makocha wa kusimamia ukakamavu wa kimwili na kujenga morali kwa wanajeshi.<ref>Dave Day, ''Professionals, Amateurs and Performance: Sports Coaching in England, 1789–1914'' (2012)</ref>
Mstari 11:
==Mpira wa Miguu “Soka”==
[[File:Liverpool's coaching staff 2012 preseason.jpg|thumb|right|Timu nzima ya wakufunzi wa klabu ya
Katika [[
Katika mchezo wa mpira wa miguu, jukumu la kocha au mkufunzi linalenga zaidi katika kufundisha na kukuza “timu ya kwanza” ya klabu. Kocha mkuu huwa na wakufunzi wasaidizi, mmoja wao akiwa na jukumu la kufundisha walinda lango. Kocha ana wasaidizi wa huduma ya kwanza pia. Mipango ya muda mrefu ya timu, ikijumuisha uhamisho wa wachezaji, kukuza vijana na huudma nyingine za kimichezo sio jukumu la kocha. Uwepo wa mkurugenzi katika timu ulianzishwa ili kuhamishia majukumu ya maendeleo na mipango ya muda mrefu ya timu kutoka kwa kocha kwenda kwa mkurugenzi, lengo likiwa ni kumpa kocha muda mwingi wa kufundisha wachezaji waliopo chini yake.<ref>{{cite web|url=http://www.football-italia.net/blogs/sw48.html|title=Manager or Coach?|publisher=Football Italia|date=5 September 2008|access-date=30 January 2011}}</ref> Mfumo huu husaidia pia kupunguza matumizi makubwa ya fedha kwa wachezaji katika kutafuta mafanikio ya haraka. Katika soka, cheo kinachotumika zaidi ni meneja, cheo hichi kinajumuisha majukumu ya kocha na mkurugenzi wa timu.
Mstari 33:
==Hisia katika kufundisha==
“Hisia zinaweza kuelezewa kama sehemu tatanishi zinazoingiliana pamoja na mambo ya ndani na sababu za msingi zinazojumuisha vipengele vya utambuzi, ufumbuzi, uhusiano na mwili” (Mwenendo wa Utafiti wa Mawasiliano, 2005). Bila hisia, mawasiliano yatakua na vikwazo vingi. Hisia hutoa mazingira na sababu ya jinsi watu wanahisi baada ya hali fulani inayohusiana na mawasiliano. “Hisia zinaweza kuchukua jukumu muhimu sana jinsi tunavyofikiria na kuishi.”<ref> Cherry, K. (2017) The purpose of emotions: How our feelings help us survive and thrive. Retrieved from: https://www.verywell.com/the-purpose-of-emotions-2795181. </ref> Maamuzi hufanywa kutokana na hisia na hisia zinaweza kuonyesha moja kwa moja uzoefu katika mawasiliano.
==Maandalizi==
Line 47 ⟶ 48:
==Marejeo==
{{reflist}}
{{mbegu-michezo}}
[[Jamii:Kazi]]
[[Jamii:Michezo]]
|