Golikipa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Michael Rensing goalkeeper FC Bayern Munich.jpg|thumb|242x242px|[[Michael Rensing]], golikipa wa [[Bayern Munich|FC Bayern Munich]].]]
[[File:Bra-Cos (4).jpg|alt=|thumb|[[Alison Becker]], mlinda lango wa timu ya Liverpool FC na timu ya taifa ya Brazili]]
Katika michezo mingi ya timu inayohusisha kufunga katika lango, golikipa'''Golikipa''' (kutoka [[Kiingereza]] "goalkeeper"; pia ''kipa'' tu; (kwa jina lingine ''mlinda lango au kipa)'') ni [[mchezaji]] maalumu anayepewaambaye jukumuhulinda [[lango la kuzuia timu]] pinzanikatika kufunga[[michezo]] golimingi kama [[Mpira wa miguu|soka]] na [[hockey]] inayohusisha kufunga katika lango lake.
 
[[Kazi]] ya kipa ni kuzuia [[timu]] pinzani kufunga [[bao]] kwa kuingiza [[mpira]] golini. Yaani yeye anayepewa jukumu la kuzuia timu pinzani kufunga goli katika lango lake.
 
Nafasi hii ni mahususi katika michezo ya [[Soka]], bandy, rink bandy, camogie, Gaelic football, Mpira wa sakafu, mpira wa mikono, hockey, polo na michezo mingine mingi.
Line 10 ⟶ 12:
 
Baadhi ya michezo, golikipa hufuata sharia kama wachezaji wengine, mfanoi, katika mchezo wa soka, anaweza kupiga mpira kwa miguu kama wachezaji wengine, lakini pia anaweza kutumia mikono yake ila kwenye eneo maalumu tu. Baadhi ya michezo golikipa hana uhuru wa kucheza uwanja mzima, na baadhi ya matendo hawezi kufanya akiwa nje ya eneo linaloruhusiwa.
 
==Mifano==
 
Line 24 ⟶ 27:
*Suruali ndefu
*Mavazi mengineyo ya kumkinga
 
 
 
===Soka===
[[File:Soccer Youth Goal Keeper.jpg|thumb|golikipa kijana wa umri mdogo]]
Katika [[Soka]], golikipa wa kiula timu ana jukumu la kulinda langop la timu yake wakati wa mchezo na hua na upendeleo wa kipekee tofauti na wachezaji wengine. Kazi kuu ya golikipa ni kuzuia mpira usiingie katika lango lake na ndiye mchezaji pekee anayeruhusiwa kutumia mikono yake kushika, kurusha au kuzuia mipira ila tu akiwa katika eneo la penati. Kisheria anatakiwa kuvaa jezi ya rangi tofauti na wachezaji wenzake na refa, hii ni ili kumsaidia refa kumtambua kwa urahisi. Hakuna mahitaji mengine maalumu japo wanaruhusiwa pia kuvaa vifaa vya ziada vya kuwakinga. Magolikipa wengi huvaa glovu pia, glovu hulinda mikono yao na pia kuongeza uwezo wa kushika mpira.
 
Line 43 ⟶ 44:
[[File:2004 Austria 5 Euro 100 Years Football back.jpg|160px|thumb|sarafu za ukumbusho za dhahabu na fedha ya umoja wa ulaya (Austria)|miaka 100 ya soka]]
Magolikipa wamekua wakitumika na baadhi ya wakusanyaji wa sarafu na medali, mfano sarafu ya euro 5 ya [[Austria]] ambayo ilichongwa 12 Mei 2004. Sarafu hiyo inaonesha shuti lililopigwa na mchezaji anayeonekana kwa mbali ambalo linampita golikipa (likiwa bado lipo hewani) kuelekea golini.
 
 
==Viungo vya nje==
Mstari 53:
*[http://pro1keeper.co.uk/ Goalkeeper Training Website]
 
{{Golikipambegu-michezo}}
[[Jamii:Michezo]]
[[Jamii:Mpira wa miguu]]