Bahari ya Ufilipino : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Philippine_Sea_location.jpg|right|thumb|300x300px| Bahari ya Ufilipino ]]
'''Bahari ya Ufilipino''' ni [[bahari ya pembeni]] ya [[Bahari Pasifiki]] lililopoiliyopo upande wa [[mashariki]] wa [[Ufilipino]] na [[Taiwan]]. [[Bahari]] zaya [[Ufilipino]] imepakana na [[Japani]] upande wa [[kaskazini]], [[Visiwa vya Mariana]] upande wa [[mashariki]] na [[Palau|Kisiwa cha Palau]] upande wa [[kusini]]. Eneo lake ni takribani [[kilomita za mraba]] [[milioni]] 5.
 
== Jiolojia ==
[[Jiolojia|Kijiolojia]] iko juu zaya [[Bamba la Ufilipino|bamba la gandunia la Ufilipino]] . <ref>International Association for Earthquake Engineering. (2003). [https://books.google.com/books?id=qWmwnHIW5HUC&pg=PA1057&dq=philippine+sea&hl=en&sa=X&ei=va7fT4_5C9HH6AH32MSVCg&ved=0CGYQ6AEwCDgy#v=onepage&q=philippine%20sea&f=false ''International Handbook of Earthquake and Engineering Seismology, Part 2,'' p. 1057].</ref>
 
Mifereji mirefu duniani inapatikana katika eneo hili ambayo ni [[Mfereji wa Mariana]] na [[Mfereji wa Ufilipino]].
 
Mifereji mirefu zaidi [[duniani]] inapatikana katika eneo hilihilo ambayo ni [[Mfereji wa Mariana]] na [[Mfereji wa Ufilipino]].
 
== Marejeo ==