Tofauti kati ya marekesbisho "Bahari ya Adria"

287 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 98 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q13924 (translate me))
No edit summary
[[Picha:Adriatic Sea.jpg|thumb|right|Bahari ya Adria jinsi inavyoonekana kutoka angani.]]
[[Picha:Adriatic Sea map.png|thumb|right|Ramani ya Adria.]]
'''Bahari ya Adria''' au kwa kifupi "'''Adria'''" ni [[ghuba]] ya [[Mediteranea]] kati ya [[Rasi ya Italia]] na [[Rasi ya Balkani]]. i
 
Nchi zinazopakana nayo ni [[Italia]] upande wa magharibi, halafu [[Slovenia]], [[Kroatia]], [[Bosnia na Herzegovina]], [[Montenegro]] na [[Albania]] upande wa [[mashariki]].
 
Adria huelekea [[kaskazini]] [[magharibi]] kutoka 40°N hadi 45° 45' N.. [[Urefu]] wake ni [[km]] 770 km na upana waka kwa [[wastani]] ni km 160. Sehemu nyembamba ni [[mlangomlangobahari wa Ortranto]] mwenyewenye [[upana]] wa km 85. Eeno lake ni mnamo [[km²]] 160,000.
 
[[Mwambao]] wa kaskazini una [[visiwa]] vingi, hasa mbele ya [[pwani]] laya Kroatia.
 
{{mbegu-jio-Ulaya}}
[[Jamii:Mediteranea]]
[[Jamii:Adria| ]]
[[Jamii:Jiografia ya Italia]]
[[Jamii:Jiografia ya Slovenia]]
[[Jamii:Jiografia ya Kroatia]]
[[Jamii:Jiografia ya Bosnia na Herzegovina]]
[[Jamii:Jiografia ya Montenegro]]
[[Jamii:Jiografia ya Albania]]