Bahari ya Adria : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 5:
Nchi zinazopakana nayo ni [[Italia]] upande wa magharibi, halafu [[Slovenia]], [[Kroatia]], [[Bosnia na Herzegovina]], [[Montenegro]] na [[Albania]] upande wa [[mashariki]].
Adria huelekea [[kaskazini]] [[magharibi]] kutoka 40°N hadi 45° 45' N. [[Urefu]] wake ni [[km]] 770 na upana waka kwa [[wastani]] ni km 160. Sehemu nyembamba ni [[mlangobahari wa
[[Mwambao]] wa kaskazini una [[visiwa]] zaidi ya 1,300, hasa mbele ya [[pwani]] ya Kroatia.
|