Bahari ya Kaspi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Caspian Sea from orbit.jpg|thumb|
[[Picha:Surikov1906.jpg|thumb|Stenka Razin (Vasily Surikov)]]
'''Bahari ya Kaspi''' (pia: '''Bahari ya Qazwin'''
[[Kimo]] chake
Huitwa "[[bahari]]" kwa sababu [[maji]] yake ni ya [[chumvi]] ingawa si kali sana kama ya bahari yenyewe.
== Maji ya chumvi ==
Upande wa [[kaskazini]] inaingia [[mito]] miwili mikubwa ya [[Volga (mto)|Volga]] na [[Ural (mto)|Ural]]. Inasababisha kiasi kidogo cha chumvi upande huo wa kaskazini. [[Asilimia]] ya chumvi huonegezeka kuelekea kusini.
== Madini ==
Chini ya bahari kuna akiba kubwa za [[mafuta ya petroli]] na [[gesi]], hasa karibu na [[Baku]]. Katika [[hori ya Kara-Bogas]] chumvi hulimwa.
== Viungo vya Nje ==
Line 22 ⟶ 23:
[[Jamii:Bahari]]
[[Jamii:Maziwa ya Asia]]
[[Jamii:jiografia ya
[[Jamii:jiografia ya Kazakhstan]]
[[Jamii:jiografia ya Azerbaijan]]
|