Maria wa Misri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 4:
[[File:Mary of Egypt british library.jpg|thumb|left|Maria wa Misri akipewa na [[Zosima wa Palestina]] joho la kufunikia uchi wake (kutoka [[Ufaransa]], [[karne ya 15]]; mchoro sasa uko [[British Library]])]]
[[Image:S. Maria Egiziaca by Jusepe de Ribera.jpg|200px|thumb|left|''Maria wa Misri'' alivyochorwa na [[José de Ribera]].]]
'''Maria wa Misri''' ([[Misri]], [[344]] hivi – [[Palestina]], [[421]] hivi<ref>The primary source of information on Saint Mary of Egypt is the ''[[Biography|Vita]]'' written of her by [[Sophronius of Jerusalem|St. Sophronius]], the [[Orthodox Patriarch of Jerusalem|Patriarch of Jerusalem]] (634–638).</ref>) alikuwa [[mwanamke]] aliyeishi peke yake [[Jangwa|jangwani]] miaka 47 baada ya [[Toba|kutubu]] [[maisha]] yake ya [[dhambi]] (miaka 17 ya [[ukahaba]] [[mji|mjini]] [[Aleksandria]]<ref>{{cite journal|title=Brothels, Baths and Babes: Prostitution in the Byzantine Holy Land|author=Claudine M. Dauphin|year=1996|journal=Classics Ireland|volume=3|pages= 47–72|url=http://www.ucd.ie/cai/classics-ireland/1996/Dauphin96.html|doi=10.2307/25528291}}</ref>).
 
Tangu kale anaheshimiwa kama [[mtakatifu]] na [[Wakatoliki]], [[Waorthodoksi]] na [[Waorthodoksi wa Mashariki]].
 
[[Sikukuu]] yake inaadhimishwa hasa [[tarehe]] [[1 Aprili]] na [[2 Aprili]].
 
==Tazama pia==