Bahari ya Sulu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created by translating the page "Sulu Sea"
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Ph physical map.png|350px|thumb|Bahari ya Sulu kati ya Borneo na Ufilipino]]
 
{{Infobox body of water|name=Sulu Sea|etymology=[[Sulu]]|pushpin_map=Mindanao#Philippines#Southeast Asia|pushpin_label_position=|pushpin_map_alt=|pushpin_map_caption=Location within the Philippines, with the island of [[Borneo]] to the southwest|coordinates={{coord|8|N|120|E|region:PH_type:waterbody|display=inline,title}}|coor_pinpoint=|part_of=|basin_countries={{ubl|{{flag|Philippines}}|{{flag|Malaysia}}}}|rivers=|image=Sulu Sea internal waves.jpg|alt=|caption=Satellite image from [[NASA]] showing the internal waves formed in the Sulu Sea|type=[[sea]]|area={{convert|260000|km2}}|cities=<!-- add cities and district/provincial capitals -->{{ubl|[[Bacolod]]|[[Bago, Negros Occidental|Bago]]|[[Bayawan]]|[[Beluran]]|[[Dapitan]]|[[Dipolog]]|[[Himamaylan]]|[[Iloilo City]]|[[Isabela, Basilan|Isabela City]]|[[Jolo, Sulu|Jolo]]|[[Jordan, Guimaras|Jordan]]|[[Kabankalan]]|[[Kinabatangan]]|[[Kota Marudu]]|[[Kunak]]|[[Lahaddatu]]|[[Kudat]]|[[Pitas, Malaysia|Pitas]]|[[Puerto Princesa]]|[[San Jose de Buenavista, Antique|San Jose de Buenavista]]|[[Sandakan]]|[[Silay]]|[[Sipalay]]|[[Talisay, Negros Occidental|Talisay]]|[[Victorias]]|[[Zamboanga City]]|}}}}
[[Picha:Palawan_-_View_to_Sulu_Sea.jpg|right|thumb| Bahari kama inavyoonekana kutoka Palawan ]]
[[Picha:Tubbataha_Shark.jpg|thumb| [[Papa (samaki)|Papa]] inayopatikana katika Hifadhi ya Kitaifa ya Twanga ya Tubbataha, Bahari la Sulu, Ufilipino ]]
'''Bahari ya Sulu''' ( Kifilipino ''Dagat ng Sulu, ing. Sulu Sea)'' ni sehemu ya [[Bahari Pasifiki]] iliyopo kati ya [[Ufilipino]] na ksiwa[[Borneo|kisiwa cha Borneo]], ikipakanwa upande moja na [[funguvisiwa la Sulu]] (ng'ambo yake [[Bahari ya Celebes]]) na kwa upande wa kaskazini mashariki na kisiwa cha [[Palawan]] (ng'ambo yake [[Bahari ya Kusini ya China]]). <ref>{{Cite web|title=Coron Bay, Philippines : UnderwaterAsia.info|url=http://www.underwaterasia.info/dive-guide-philippines/palawan-north.php|work=www.underwaterasia.info|accessdate=23 April 2018|archiveurl=https://web.archive.org/web/20171005001437/http://www.underwaterasia.info/dive-guide-philippines/palawan-north.php|archivedate=5 October 2017}}</ref> na kutoka kwa [[Bahari ya Celebes|Bahari]] ya [[Bahari ya Celebes|Celebes]] kusini mashariki mwa Sulu Kisiwa cha Sulu . <ref>{{Cite web|title=Sulu Sea, Philippines : UnderwaterAsia.info|url=http://www.underwaterasia.info/dive-guide-philippines/sulu-sea.php|work=www.underwaterasia.info|accessdate=23 April 2018|archiveurl=https://web.archive.org/web/20160601110924/http://www.underwaterasia.info/dive-guide-philippines/sulu-sea.php|archivedate=1 June 2016}}</ref>
 
Ndani ya Bahari ya Sulu iko Hifadhi ya Kitaifa ya Tubbataha Reef inayoorodheshwa katika orodha ya [[Urithi wa Dunia]]. <ref>C.Michael Hogan. 2011. ''Sulu Sea''. Encyclopedia of Earth. Eds. P.Saundry & C.J.Cleveland. Washington DC</ref>
 
== Jiografia na ekolojia ==
Uso wa sehemu hii ya bahari ina kilomita za mraba 260,000. Kina cha wastani ni mita 1139.
 
Ndani ya Bahari ya Sulu iko Hifadhi ya Kitaifa ya Tubbataha Reef inayoorodheshwa katika orodha ya [[Urithi wa Dunia]]. <ref>C.Michael Hogan. 2011. ''Sulu Sea''. Encyclopedia of Earth. Eds. P.Saundry & C.J.Cleveland. Washington DC</ref>
 
Kwenye kusini magharibi ya Bahari ya Sulu kuna visiwa ambako [[kasa]] wanatega mayai yao, hasa [[Kasa Uziwa]] (''chelonia mydas'') na [[Kasa Mwamba]] (''eretmochelys imbricata)''.
Line 16 ⟶ 14:
 
Baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia uharamia ulipata nguvu tena. Mara nyingi ni makundi ya maharamia hadi kumi wanaoshambulia hasa maboti madogo ya mizigo na ya abiria pamoja na wavuvi. Katika miaka ya 1980 takriban mashambulio 100 yalikadiriwa kila mwaka katika Bahari ya Sulu.<ref name="Liss2011">{{cite book|url=https://books.google.com/books?id=Ofx0RLCzJT8C|title=Oceans of Crime. Maritime Piracy and Transnational Security in Southeast Asia and Bangladesh|last=Liss|first=Carolin|date=2011|publisher=ISEAS Publishing|isbn=978-981-4279-46-8|location=Singapore}}</ref>{{rp|60}} Maharamia wa eneo hili wanahofiwa kwa sababu wanaua haraka kuliko kawaida na pia wanateka nyara.
 
==Marejeo==
<references/>
 
== Viungo vya nje ==
{{Commons category-inline|SuluBahari Seaya Sulu}}